*HYATT REGENCY KILIMANJARO HOTEL SET ASIDE USD 50,000 FOR CSR
Hyatt Regency The Kilimanjaro Hotel General Manager Trevor Saldanha speaks to invited guests during the business partner celebrations hosted by The Kilimanjaro Hotel to his customers in Dar es...
View Article*MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA, MIAKA KUMI YA...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA: MIAKA KUMI YA MAPINDUZI YA MAWASILIANO TANZANIAMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inasheherekea maadhimisho...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA NCHI WANACHAMA WA SHIRIKISHO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Jarida la Wanachama wa Shirikisho la Viwanda vya Utengenezaji nguo kwa nchi Wanachama wa...
View Article*MKUTANO WA CHADEMA KUMVUA UANACHAMA ZITTO LEO????
Baada ya Zitto kuweka wazi maamuzi yake juu ya CHADEMA leo Uongozi wa Chama hicho umeitisha mkutano na waandishi wa habari kama alivyofanya Zitto, ambapo hadi sasa haijajulikana dhumuni kuu ya mkutano...
View Article*KINANA ATEMBELEA KUKAGUA MAENDELEA YA MIRADI JIMBO LA RUNGWE MASHARIKI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa nyumba za Walimu wa Shule ya Sekondari ya Mwakaleli. Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akikata ubao...
View Article*WADAU WA UDOM WALIPOTUNUKIWA NONDOZ ZAO MWISHO MWA WIKI KATIKA CHUO KIKUU...
Wahitimu wa Shahada mbalimbali kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya kutunukiwa shahada zao Mwishoni mwa wiki iliyopita katika mahafali ya nne ya Chuo hicho...
View Article*DRFA KULA SAHANI MOJA NA MAKOCHA WA LIGI DARAJA LA PILI
Baadhi ya washiriki wa kozi ya Ukocha Ngazi ya Pili (Intermediate) wakimsikiliza mkufunzi wa kozi hiyo, Rogasian Kaijage (hayupo pichani) Juni mwaka huu.Kozi hiyo iliendeshwa na DRFA.CHAMA cha Mpira wa...
View Article*THE LAUNCH FOR THE CENTERS FOR YOUTH DIALOGUE PROGRAM IN ZANZIBAR
"The U.S. Chargé d'Affaires Virginia Blaser (Second from the left) and Acting Deputy Chief of Mission Sharon Cromer (Fourth on the right) met with Major Catherine Mwamunyange (Third from the right)...
View Article*RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA WARSHA YA 'KAMATA FURSA TWENZETU'
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wadau mbali mbali walioshiriki kwenye Warsha ya Kamata Fursa Twenzetu,iliyofanyika jana kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.Mh. Rais...
View Article*BALOZI PETER KALLAGHE AITEMBELEA MERU SERVICES LTD
Eneo la Canary wharf london ambalo Balozi Peter Kallaghe alifanya ziara ya kutembelea kampuni ya Kitanzania, Meru Services LTD. Tarehe 23 Novemba 2013, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter...
View Article*SERIKALI IPUNGUZE MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA-KINANA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Masoko ,kijiji cha Lupando wilaya ya Rungwe ,Katibu Mkuu waliwaambia wananchi hao kuwa urasimu na umangi meza wa watendaji wa...
View Article*NBC YAIPIGA TAFU TAYOA MSAADA WA SHILINGI MILIONI 100
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) akipokea mfano wa hundi ya shs milioni 100 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Mizinga...
View Article*SELCON,VODA COM NA OIL COM WAUNGANA KURAHISISHA UNUNUZI WA MAFUTA KWA NJIA...
Meneja wa huduma za Selcom,Bi,Everline Simpilu kushoto akimpatia lisiti kwa mteja wa mafuta wa kituo cha Oilcom Bw,Peter Ibrahimu wakati wa uzinduzi wa ununuaji wa mafuta kwa njia ya mtandao wengine...
View Article*MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA MTOTO WA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM, PHILP...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula, wakati alipofika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam,jana...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA VIJANA WA UMOJA WA VIJANA CCM (UVCCM)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Beji ya Mapambano dhidi ya Ukimwi na Katibu wa Hamasa na Chipukizi Taifa, Paul Makonda, wakati alipokutana na...
View Article*DUNIA MZOBORA KUZIKWA MCHANA HUU MAKABURI YA KISUTU DAR
DUNIA MZOBORADAR ES SALAAM, TanzaniaMHARIRI Mwandamizi wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo, Dunia Mzobora, ambaye amefariki dunia jana, anazikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam....
View Article*RAIS KIKWETE ALIPOKAGUA NA KUZINDUA MIRADI MKOA MPYA WA SIMIYU JANA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli(watatu kushoto),Mbunge wa Bariadi Mhe. Andrew Chenge(kushoto)pamoja na viongozi wengine w akifunua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la...
View Article*WAKONGWE KIBAO WA MUZIKI NCHINI WAPANIA KUFANYA MAKAMUZI TAMASHA LA GURUMO...
MKONGWE wa muziki wa dansi Kassim Mapili amethibisha kushiriki Tamasha la Gurumo 53 litakalofanyika Jumamosi ya tarehe 14 mwezi Disemba mwaka huu.Mapili amesema si yeye tu, bali pia ataratibu mpango...
View Article