Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYA YA ILEJE, WANANCHI WAIKATAA MBOLEA...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahmna Kinana akishiriki ujenzi wa msingi ya wodi y a wazazi ya kituo cha afya kata ya Lubanda wilayani Ileje. Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*USAFI WA MITARO ENEO LA MAKUMBUSHO IMEKUWA TATIZO KUBWA HATARI YA MLIPUKO WA...

Huu ni mtaro ambao umeziba na maji hayaendi,na watu kutupa uchafu ndani yake kama unavyoonekana.Juu ya huo mtaro kuna mgahawa wa chakula,ambao watu wanautumia kwa mahitaji ya chakula.Kama picha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA SHEREHE ZA MAADHIMISHO MIAKA 10 YA MAMLAKA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi msaidizi Chumba cha Mtambo wa Kufuatilia Mawasiliano ya Simu (Telecommunicatins...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MTANZANIA CLARA NOOR AANZA KUNG'ARA MASHINDANO YA MISS EARTH UFILIPINO

 Mwandishi WetuNyota wa mrembo wa Tanzania anayewania taji la Miss Earth, Clara Noor imeanza kung’ara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika taji la fukwe ya Pagudpud iliyopo nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAREMBO WAANZA KUJINOA TAYARI KWA SHINDANO LA MISS TANZANIA USA PAGEANT...

Lady Kate, Pamela, Ma Winny na Asha katika picha ya pamoja na Mamiss Tanzania USA.MaWinny Casey Mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Tanzania USA Pageant katika picha ya pamoja na mratibu wa Miss Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TANZANIA BARA 'KILIMANJARO STARS' YAANZA NA SARE MICHUANO YA CHALLENGE

Mrisho Ngassa akishangilia baada ya Said Morad (hayupo pichani) kuisawazish Stars, huku kipa wa Zambia na mabeki wake wakiwa wameduwaaNa Mahmoud Zubeiry wa Bin Zubeiry, MachakosTANZANIA Bara,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINANA AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI TUNDUMA, AKAGUA MIPAKA YA TANZANIA NA MALAWI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutumia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaka, mjini Tunduma, leo  jioni, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SWAHILI FASHION WEEK 2013 AWARDS

Endelea kupigia KURA kipindi maarufu cha NIRVANA cha EATV kushinda tuzo ya kipindi bora cha mitindo cha mwaka 2013! Ni makasheshe ya Fashiooooon kwa kwenda mbele! Andika SFWATV04 kwenda 15678 au piga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZIKO YA MTOTO WA MAKAMU...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka udongo katika kaburi la mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula), wakati wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MABONDIA JAPHET KASEBA, ALIBABA KUZIPIGA DESEMBA 21 FRIENDS CORNER HOTEL DAR

Mabondia Japhet Kaseba wa jijini Dar es Salaam, na Alibaba Ramadhan wa jijini Arusha, wanategemea kupanda ulingoni siku ya jumamosi ya tarehe 21 Decemba, mwaka huu katika ukumbi wa friends corner...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS JAKAYA KIKWETE APEWA UCHIFU WA BARIADI

Mmoja wa machifu wa Kisukuma eneo la Bariadi ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi Mashariki Andrew Chenge akimvika vazi la kijadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kumpa uchifu Rais Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI SEIF IDDI AZUNGUMZ NA WANAKITOPE UNGUJA

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akitoa salamu kwenye mkutano wa hadhara wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika kwenye kiwanja cha michezo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA OFISI YA MAKAMU WA...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais,katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MHE. JANUARY MAKAMBA KUWA MGENI RASMI TANZANIA UHURU NIGHT WASHINGTON DC

 MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUUNGANA NA RAIS MUSTAAFU ALI HASSAN MWINYI SHEREHE YA UHURU CALIFORNIA tiketi zinapatikana online au Piga simu kwa Dj Luke 301 661 6696,  Dj Seif  202 286 6595 na Baraka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KAMATI ZA MAADILI WANACHAMA WA TFF WATAKIWA KUFANYIA MAREKEBISHO KATIBA ZAO

Wanachama wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wanatakiwa kufanyia marekebisho katika katiba zao kwa kuingiza ibara ya Kamati za Maadili.Maagizo hayo yanatokana na kikao cha Kamati ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKEA KOMBE LA DUNIA JIJINI MWANZA, KESHO NI DAR

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akilifunua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo wa Kirumba jijini Mwanza leo jioni baada ya kulipokea Kombe hilo lililotua nchini kwa mara ya pili, ambapo kesho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT.BILAL AENDESHA ZOEZI LA HARAMBEE YA KUCHANGIA MADAWATI...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi chaeti, Mkurugeniz wa Kagera Sugar, Hamadi Yahaya, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wake wa kuchangia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NAPE NNAUYE: KUHOJIWA KWA MAWAZIRI KAMATI KUU YA CCM HAKUKWEPEKI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa mji wa Vwawa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo katika mji huo ambao ndiyo makao makuu ya wilaya ya Mbozi, mkutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI KAMPALA UGANDA KUHUDHURIA MKUTANO WA EAC

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wa Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda kuhudhuria mkutano wa wakuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NANI KUONDOKA NA PIKIPIKI HII KATI YA NASIB RAMADHAN NA MOHAMED MATUMLA...

Meneja Masoko wa kampuni ya haojue,Wawa Laida (kulia) akiwaonesha pikipiki itakayogombaniwa na mabondia Nassibu Ramadhani (kushoto) na Mohamed Matumla siku ya Desemba 25  wengine (wa pili kushoto) ni...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>