Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKEA KOMBE LA DUNIA JIJINI MWANZA, KESHO NI DAR

$
0
0
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akilifunua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo wa Kirumba jijini Mwanza leo jioni baada ya kulipokea Kombe hilo lililotua nchini kwa mara ya pili, ambapo kesho wananchi watapata fursa ya kupia nalo picha. 
 Rais Kikwete, akilinyanyua Kombe hilo kwa furaha baada ya kuzindua rasmi shambra shambra za ujio wake nchini katika uwanja wa Kirumba jijini Mwanza leo jioni.
rai Kikwete, akifurahia hukua kiwa ameliinua Kombe hilo juu kuwaonyesha wananchi waliojitokeza kwenye Uwanja wa Kirumba kulipokea. Wananchi wa Jiji la dar es Salaam, kesho watapata fursa ya kupiga picha na kombe hilo katika Uwanja wa Taifa.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles