Meneja Masoko wa kampuni ya haojue,Wawa Laida (kulia) akiwaonesha pikipiki itakayogombaniwa na mabondia Nassibu Ramadhani (kushoto) na Mohamed Matumla siku ya Desemba 25 wengine (wa pili kushoto) ni Rashidi Matumla,Christopher Mzazi na mlatibu wa mpambano uho Kaike Siraju. Picha na Super D.