*WAREMBO WA MISS TANZANIA USA PAGEANT WAJINOA KWA MARA YA MWISHO KUELEKEA...
Joy Kalemera kutoka New Jersey Faith Kashaa kutoka Alabama Julia Nyerere kutoka Maryland. Hellena Nyerere kutoka Maryland. Sham Manka kutoka Massachusetts. Doreen Rumaya kutoka...
View Article*TOVUTI KUU YA SERIKALI YAZINDULIWA RASMI, TAARIFA NA HUDUMA MBALIMBALI SASA...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa Tovuti Kuu ya Serikali www.tanzania.go.tz itakayowawezesha wananchi kupata taarifa na huduma mbalimbali za serikali kwa urahisi,...
View Article*RAIS JAKAYA KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA EAC UGANDA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi,Rais Yoweri Museveni wa Uganda,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa katika mkutano katika hoteli ya...
View Article*SALAMU ZA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA KWENYE HAFLA YA KUPOKEA...
Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Dk. Fennela Mukangara- Waziri waHabari, Vijana, Utamaduni na MichezoNdugu Dioniz Malinzi- Mwenyekiti wa Baraza la...
View Article*ZANZIBAR HEROES YAJIWEKA PABAYA CHALENJI BAADA YA KUKUBALI KICHAPO CHA 3-1...
PICHA KWA HISANI YA BIN ZUBEIRY BLOGTIMU YA Zanzibar Heroes, leo imejiweka katika hati hati ya kwenda au kutokwenda Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Chalenji baada...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHEREHESHA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwai, chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa...
View Article*SOMA TAMKO LA UMOJA WA MATAWI YA WANACHADEMA MKOA WA MWANZA DHIDI YA UAMUZI...
TAMKO LA UMOJA WA MATAWI YA WANACHADEMA MKOA WA MWANZA DHIDI YA UAMUZI HARAMU WA KAMATI KUU YA CHADEMA.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUTANGULIZINdugu wanahabari, mbele yenu ni muunganiko wa wawakilishi...
View Article*JOY KALEMERA ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA USA PAGEANT
Mlimbwende Joy Kalemera akipungia mashabiki baada ya kushinda mashindano ya Miss Tanzania USA Pageant yaliyofanyika usiku wa Jumamosi Novemba 30, 2013 kwenye ukumbi wa Hollywood Ballroom uliopo Silver...
View Article*KILIMANJARO STARS YAITANDIKA SOMALI BAO 1-0 MICHUANO YA CHALLENGE
Beki wa Kilimanjaro Stars, Erasto Nyoni (kulia) akichuana kuwania mpira na Hassan Ali Roble wa Somali, wakati wa mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge...
View Article*UJIO WA KOCHA MPYA WA SIMBA AACHIWE AFANYE YAKE BILA KUINGILIWA
Mashabiki wa Timu ya Simba, wakimpokea kwa shangwe na nderemo, kocha wao mpya aliyetua nchini leo machana. Mara kadhaa kumekuwa kukitokea furaha kwa mashabiki, viongoni na hata wachezaji wa Klabu zetu...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC DKT. STAGOMENA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Katibu Mtendaji wa SADC, Dkt. Stagomena Tax, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo...
View ArticleAJALI MTO WAMI MALORI YAZIBA NJIA NA KUSABABISHA FOLENI KUBWA
Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la mto wami Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga,Arusha Na Kilimanjaro.Ajali mbaya imetokea eneo la mto wami na...
View Article*KUWAONA TANZANITE v/s AFRIKA YA KUSINI NI SH. 1,000/= TU
Kikosi cha Tanzanite.Washabiki watakaoshuhudia mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia kwa wasichana wenye umri chini ya miaka 20 kati ya Tanzania (Tanzanite) na Afrika Kusini watalipa kiingilio cha sh....
View Article*KITWANA MANARA, KHALEED ABEID KUONYESHA MAKALI YA ENZI ZAO "Chalenji''
Golikipa Mahiri wazamani wa timu ya taifa Tanzania All Stars Kitwana Manara, pichani (kulia juu).*******************************Na Mwandishi wetuTimu inayoundwa na wachezaji wa zamani wa timu Taifa ya...
View Article*KINANA ALIVYOFUNIKA BOVU RUJEWA JANA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa shue ya Msingi Rujewa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na...
View Article*HOYCE TEMU, LULU MUSSA, WALAMBA NONDOZZZ YA SHAHADA YA UZAMILI YA...
Miss Tanzania wa 1999, ambaye pia ni Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania Hoyce Temu akipozi mara baada ya kulamba Nondozzz ya shahada ya Uzamili wa Mawasiliano ya Umma...
View Article*TUJIKUMBUSHE NA ANALOJIA, UNKAL MICHUZI, CLOUD NA ALLY CHOKI
Muhidin Issa Michuzi, akimkabidhi zawadi ya simu Msanii wa Filamu nchini, Cloud, katika moja ya shindano lililoandaliwa na Bendi ya Extra Bongo ya kwanza kabla ya kuvunjika na kuundwa upya na kuduma...
View Article*MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA SINGIDA NAYE AJIUZULU
WILFRED NOEL KITUNDUMWENYEKITI CHADEMA MKOA SINGIDAS.L.P 2603.12.2013KATIBU WA CHADEMA MKOAS.L.P 260SINGIDAYAH: - KUJIUZURU UENYEKITI MKOA SINGIDASomo hapo lahusika,Ninapenda kukuarifu kuwa nimeamua...
View Article*RAIS WA ZANZNIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI NA MWENYEKITI WA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,katika kikao cha kujadili utekelezaji wa...
View Article