Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*RAIS JAKAYA KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA EAC UGANDA

$
0
0
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi,Rais Yoweri Museveni wa Uganda,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa katika mkutano katika hoteli ya Munyonyo jijini Kampala wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki leo. Picha na Freddy Maro
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakati wa nmkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Africa Mashariki unaofanyika jijini Kampala Uganda leo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>