$ 0 0 Muhidin Issa Michuzi, akimkabidhi zawadi ya simu Msanii wa Filamu nchini, Cloud, katika moja ya shindano lililoandaliwa na Bendi ya Extra Bongo ya kwanza kabla ya kuvunjika na kuundwa upya na kuduma hadi hivi sasa.