Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*MKUTANO WA CHADEMA KUMVUA UANACHAMA ZITTO LEO????

$
0
0

Baada ya Zitto kuweka wazi maamuzi yake juu ya CHADEMA leo Uongozi wa Chama hicho umeitisha mkutano na waandishi wa habari kama alivyofanya Zitto, ambapo hadi sasa haijajulikana dhumuni kuu ya mkutano huo,huku wadau waliowengi wakibaki na maswali mengi yasiyokuwa na majibu vichwani mwao, kuwa huenda mkutano huo ukawa ni maalumu kwa kutangaza rasmi kumvua uanachama Zitto, ama kumpongeza kwa kile alichozungumza juu ya maamuzi yake ya kuendelea kubaki ndani ya chama hicho au la. 

Kikubwa zaidi Uongozi huo umeitisha mkutano huo baada ya maamuzi ya Zitto kutangaza kutarajia kuanza ziara ya nchi nzima kuimarisha chama hicho.

Leo Chama hicho kimeitisha mkutano na waandishi wa habari katika ofisi zao zilizopo makao makuu Kinondoni, hivyo kufanya wasiwasi utawale kwa wanachama na wadau wa chama hicho kuwa na mkanganyiko wa kutoelewa kwa kiongozi wao Zitto Kabwe na Dkt. Kitilla wanaweza  kuondolewa uanachama

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>