*TAARIFA YA MSIBA: MPIGA GITAA WA BENDI YA SKYLIGHT, CHIRI CHALLA AFARIKI GHAFLA
Mpiga Gitaa wa Skylight Band maarufu kwa jina la Chiri Challa(pichani) amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia April 17 katika Hospitali ya Muhimbili.Taarifa za awali zimethibitishwa na uogonzi wa...
View Article*TAARIFA KUTOKA TFF, WACHEZAJI MABORESHO STARS WATAJWA
Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 16 waliochaguliwa katika maboresho ya timu ya Taifa Taifa Stars kwenye hoteli ya Hill View jijini Mbeya.Wachezaji hao ni kipa...
View Article*KUTOKMA VIKAO VYA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kushoto) akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo leo mjini Dodoma wakati wakijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia...
View Article*CHANGIA HILMY DISALITY CHARITY ORGANISATION
Kwa wale wote wanaotembelea ukurasa huu tunawaomba kuchangia WATOTO wenye ulemavu Zanzibar. Kwa MTU yoyote mwenye MOYO wa kuchangia Standing Order kwa ACC 63972496. Sote 20.42.76. Jina: Hilmy Shawwal...
View Article*VIJANA WATAKIWA KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA UJASILIAMALI ILI WAMUDU KUJUKWAMUA...
Na Anna Nkinda – Maelezo, LindiVijana mkoani Lindi wametakiwa kuacha tabia ya kuilalamika Serikali kuwa maisha ni magumu bali watumie fursa zilizopo katika maeneo yao kwa kujiunga katika vikundi vya...
View Article*PAZIA LA LIGI KUU BARA LAFUNGWA, AZAM FC KUKABIDHIWA KOMBE LAO CHAMAZI KESHO
Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inafikia tamati kesho (Aprili 19 mwaka huu) kwa timu zote 14 kuwa viwanjani, huku mabingwa wapya Azam wakikabidhiwa kombe lao...
View Article*MICHUANO YA BEACH SOCCER KUANZA JUMAPILI, JUMLA YA TIMU 13 KUCHUANA
Michuano ya mpira wa miguu ya ufukweni (Beach Soccer) inazinduliwa rasmi keshokutwa (Aprili 20 mwaka huu) kwenye ufukwe wa Escape One uliopo Mikocheni, Dar es Salaam na kushirikisha timu 13.Uzinduzi...
View Article*WACHEZAJI WAZOEFU WA TAIFA STARS WA KUJIUNGA NA 16 WA MABORESHO KUTAJWA KESHO
Wachezaji wazoefu wa Taifa Stars watakaoungana na wale 16 waliopatikana katika mpango wa maboresho wa timu hiyo watatangazwa kesho (Aprili 19 mwaka huu) saa 4 asubuhi kwenye ofisi za Shirikisho la...
View Article*RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AWAONDOA HOFU WATANZANIA, MUUNGANO BADO NI IMARA
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi akipokea maelezo kutoka kwa Afisa wa Bunge Bwana Patson Sobha, wakati alipowasili kwenye Banda la Bunge la maonesho ya maadhisho ya miaka 50...
View Article*MAMA SALMA APOKEA MBIO ZA PIKIPIKI KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MUNGANO-ATEMBELEA...
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mtwara ndugu Mohamed Sinani akikabidhi picha ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Mama Salma Kikwete na picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mheshimiwa Abeid Aman Karume...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI MJINI UNGUJA KUFUNGUA KONGAMANO LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya maafisa na viongozi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mjini Zanzibar...
View Article*WAUMINI WA DINI YA KIKRISTU WAHUDHURIA IBADA MAALUM YA IJUMAA KUU LEO KANISA...
Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Usharika wa Azania Front, Moses Kombe, (katikati) na wenzake wakiigiza igizo la kumbukumbu ya Kuwambwa Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita wakati...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA WIZARA YA ELIMU ZANZNIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi...
View Article*NI YANGA KUSAKA HESHIMA AU SIMBA KUTUNZA HESHIMA KESHO????
Wakati timu za watani wa Jadi Yanga na Simba, zinashuka dimbani kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kesho katika mchezo wa kufunga dimba la Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga itashuka dimbani...
View Article*FRANCIS MIYEYUSHO, MTHAILAND WAPIMA UZITO KUONYESHANA KAZI LEO PTA
Bondia Sukkasem Kietyongyuth, kutoka Thailand (kulia) akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya pambano lao la leo jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es...
View Article*BALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE WAWASILI COLUMBUS, OHIO
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio wakijiandaa kuelekea uwanja wa ndege wa Columbus, Ohio kumpokea Mhe. Liberata Mulala atakaye kuwa mgeni rasmi kwenye fundraising Dinner...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AWATAKA WAZAZI NA WALIMU KUSIMAMIA ELIMU YA WATOTO WAO
Na Anna Nkinda- Maelezo, LindiMjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete amewataka wazazi na walimu kushirikiana kwa pamoja na...
View Article