*WASHIRIKI WA KLINIKI YA AIRTEL RISING STAR KUTUA JIJINI DAR JUMATATU WIKI...
Meneja uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mbando akiongea na waandishi wa Habari wakati wa kutangaza Kliniki ya Kimataifa ya mpira wa soka ya Manchester United ambayo itafanyika Jijini Dar es Salaam...
View Article*KUELEKEA SHEREHE ZA MIAKA 50, MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUFUNGUA KONGAMANO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Muungano katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar...
View Article*DIDA, MANULA, SAMATTA, ULIMWENGU NI MIONGONI MWA 19 WALIOITWA KUUNGANA NA 16...
Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza wachezaji wengine 23 watakaoingia kambini kesho (Aprili 20 mwaka huu) kuungana na 16 waliotajwa awali kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya...
View Article*MICHUANO YA BEACH SOCCER KUZINDULIWA RASMI KESHO
Michuano ya mpira wa miguu ya ufukweni (Beach Soccer) inazinduliwa rasmi kesho (Aprili 20 mwaka huu) kwenye ufukwe wa Escape One uliopo Mikocheni, Dar es Salaam na kushirikisha timu 13.Uzinduzi huo...
View Article*MASHINDANO YA TANZANIA MOVIE TALENTS YAANZA MKOANI MBEYA LEO
Mshiriki wa Tanzania Movie Talents akihojiwa mara baada ya kumaliza usaili katika Shindano la Tanzania Movie Talents linaloendelea muda huu katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo Soko Matola Mkoani...
View Article*VIONGOZI WA JUMUIYA COLUMBUS, OHIO WAMWALIKA DINNER BALOZI LIBERATA MULAMULA
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na katibu wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio Bi. Happiness Salukele wakiwemo wajumbe wa Jumuiya Nasra Murumah, Chiseko...
View Article*KUTOKA UWANJA WA TAIFA MCHEZO WA WATANI WA JADI WALIOANZA KUKIMBIZA
YANGA:- Deigratius Munishi, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Nadir Haroub 'Canavaro' (c) Kelvin Yondan, Franky Domayo, Simon Msuva, Hassan Dilunga, Didier Kavumbagu, Mrisho Ngassa na Hamis Kiiza.BENCHI LA...
View Article*KUTOKA UWANJA WA TAIFA, MPIRA NI MAPUMZIKO YANGA 0- SIMBA 0
Kutoka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, matokeo ya mchezo wa Watani wa Jadi kati ya Yanga na Simba, bado ni 0-0 na sasa ni mapumziko.
View Article*NI KIPINDI CHA PILI, SIMBA WANAFANYA MABADILIKO
Simba wanafanya mabadiliko, anatoka Nassor Chollo, nafasi yake inachukuliwa na William Lucian na Said Ndemla anatoka nafasi yake inachukuliwa na Uhuru Seleman.
View Article*DAKIKA YA 76 CHANONGO ANAIANDIKIA BAO LA KUONGOZA SIMBA
Dakika ya 76, Haruna Chanongo, anawainua mashabiki wa Simba kwa kuandika bao la kwanza na la kuongoza kwa kuachia mkwaju mkali kufuatia krosi ya William Lucian. Na wakati huo huo Yanga wanafanya...
View Article*DAKIKA YA 86 MSUVA ANAIPATIA BAO LA KUSAWAZISHIA YANGA
Dakika ya 86 Ni Simon Msuva, anaisawazishia Yanga bao murua kwa shuti kali lililomshinda kipa wa Simba, Ivo Mapunda. Wakati huo huo, Simba wanafanya tena mabadiliko kwa kumtoa, Ramadhan Singano na...
View Article*KUTOKA UWANJA WA TAIFA YANNGA, SIMBA WALINDIANA HESHIMA KWA KUFUNGANA BAO 1-1
Mchezo wa watani wa Jadi kati ya Yanga na Simba, kwenye Uwanja wa Taifa umemalizika kwa timu hizo kulindiana heshima kwa kufungana bao 1-1. Bao la Simba lilifungwa katika dakika ya 76 na Haruna...
View Article*AZAM FC WAKABIDHIWA KOMBE LAO LA UBINGWA WA LIGI KUU BARA
Wachezaji wa Azam Fc, ambao ni Mabingwa wapya wa Ligi ya Tanzania Bara wakishangilia baada ya kukabidhiwa Kombe lao la ubingwa na kuweka historia ya kutwaa Ubingwa wa Soka kwa mara ya kwanza tangu...
View Article*MATUKIO KATIKA PICHA YA MCHEZO WA YANGA v/s SIMBA NA MATOKEZO YOTE YA...
Mshamuliaji wa Yanga, Simon Msumva (kulia) akijaribu kuwatoka mabeki wa Simba, Nassor Chollo (kushoto) na Said Ndemla (katikati) wakati wa mchezo wa kufunga dimba la Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa...
View Article*CHEKA ADROO NA MUIRAN, MIYEYUSHO APIGWA K.O RAUNDI YA KWANZA NA MTHAILAND
Bondia Fransic Cheka (kushoto) akichapana na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa pambano lao la Kimataifa la kirafiki lililofanyika kwenye ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam jana usiku. Katika...
View Article*FULL MKANDA VITUKO NA MATUKIO MECHI YA YANGA, SIMBA TAIFA JANA, SHABIKI AIBA...
Shabiki maarufu wa Yanga, akitolea uwanjani chini ya ulinzi mkali huku akiwa amevua suruali yake nusu, baada ya kuruka na kuingia pasipohusika. Shabiki wa Yanga akikimbia kuwapita askari walionogewa...
View Article*MPIGA GITAA MAARUFU WA SKYLIGHT BAND MAREHEMU CHIRI CHALLA AZIKWA JIJINI DAR
Waombolezaji wakiwa msibani Jana kushoto mwenye tisheti nyeusi ni Mratibu wa Skylight Band.Baadhi ya waombolezaji wakibadilishana mawazo Katikati ni Mwanamuziki wa Skylight band Joniko...
View Article*BALOZI IDDI AZINDUA KAMPENI YA HUDUMA ZA UPIMAJI WA MAGONJWA YA SHINIKIZO LA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipima damu mara baada ya kufungua kampeni ya kutoa huduma za shinikizo la Damu na Kisukari katika majengo ya Taasisi ya Kiswahili na Lugha za...
View Article*WAUMINI WA DHEHEBU LA ORTHODOX WASHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA JIJINI DAR.
Balozi wa Urusi anayefanya kazi hapa nchini Alexander Rannikh, akipewa Baraka na Askofu wa Dhehebu la Orthodox, Askofu Dimitrios, wakati wa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka iliyowashirikisha...
View Article*MABONDIA DIMOSO NA TAMBA WAPIMA UZITO KUZIPIGA KESHO JUMATATU YA PASAKA TANDALE
Bondia George Dimoso (kushoto) na Ibrahimu Tamba wakipozi 'Kispoti' baada ya kupima uzito kwa ajili ya pambano lao litakalofanyika Manyara Park Tandale CCM kesho jumatatu ya pasaka. Bondia George...
View Article