*FUNDRAISING DINNER COLUMBUS YAFANA BALOZI LIBERATA MULAMULA ASISITIZA...
Mhe. Liberata Mulamula akipokewa na mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri mara tu alipowasili kwenye fundraisng dinner ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio iliyofanyika Comfort Inn siku ya Jumamosi...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AWAASA WALEMAVU KUJIAMINI KWA ULEMAVU WAO
Na Anna Nkinda – Maelezo, LindiWatu wenye ulemavu wa viungo wametakiwa kutosikitika kwanini Mwenyezi Mungu aliwaumba hivyo na kujiona wanyonge bali wajione wako sawa na watu wengine kwani katika...
View Article*ALPHOCE FELIX NA JACKLINE SAKILU WAIBUKA WASHINDI WA MBIO ZA NGORONGORO...
Wanariadha wa Mbio za Ngorongoro Marathon, Kilometa 21 (Half Marathon) wakianza mbio katika geti kuu la Mbuga ya Ngorongoro na kuishia mjini Karatu.Mchuano wa wanariadha ukiendelea kwa kasi.Ilikuwa ni...
View Article*TAMKO LA WANAFUNZI KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA MPYA
Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Gulatone Masiga akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani), kushoto ni Acbert Sweya kutoka Chuo Kikuu cha Kampala.wakati wa Mkutano...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KITUO CHA WALEMAVU CHA RASIBURA NA KUTOA ZAWADI...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikaribishwa kwenye kituo cha walemavu cha Rasibura na Ndugu Simon Mnimbo, Mkurugenzi wa Shirika la Caritas la Kanisa Katoliki Jimbo la Lindi wakati Mama Salma...
View Article*WACHEZAJI WA AIRTEL RISING STARS KUTOKA SIERRA LEONE WAWASILI DAR
Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius mara ya kupokea timu ya Airtel Rising Stars kutoka Sierra Leone ambao watahudhuria kliniki ya...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA 28 LA MWAKA LA WANASAYANSI LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua pazia kuashiria kuzindua rasmi Kongamano la 28 la Mwaka la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR),...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR, DKT. SHEIN APOKEA TAARIFA YA SITTA AMPAKUHUSU MWENENDO WA...
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akimpatia taarifa juu ya mwenendo wa Bunge Maalum la katiba na ulipofikia, Rais Wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohammed...
View Article*CCM MEATU WASILIMISHA VIONGOZI WA CHADEMA
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.Mwenezi wa Chadema...
View Article*WATANZANIA WAMETAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI
Ofisa utumishi Mkuu Wilaya ya kinondoni Bwana Godfrey Mugomi akikata utepe kuashiaria uzinduzi wa Hoteli ya kisasa STAR CITY HOTEL iliyopo Afrikana sinza wanaoshudia ni Mkurugezi mkuu na mmiliki...
View Article*BALOZI IDDI AZINDUA VYOO VYA SHULE YA KIJITOUPELE NA MABOMBA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akivizindua rasmi vyoo vya Skuli ya Kijitoupele A, B na Sekondari pamoja na Mabomba,Tangi la Maji vilivyojengwa na ufadhili ya Shirika la Umoja...
View Article*JIPANGE KUWAONA TAIFA STARS, BURUNDI KWA VIINGILIO HIVI TU
Kiingilio cha chini katika mechi ya kirafiki ya kimataifa kati ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na Burundi (Intamba Mu Rugamba) itakayochezwa Aprili 26 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es...
View Article*WATANZANIA KUTOYUMBISHWA NA WASIOITAKIA MEMA NCHI YAO
Frank Mvungi-MaelezoKAMATI ya Tanzania Kwanza nje ya Bunge la Katiba imewataka Watanzania kutoyumbishwa na misimamo ya watu wachache wasioitakia mema Tanzania.Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati...
View Article*MKENYA OGWAYO KUCHEZESHA STARS v/s BURUNDI JUMAMOSI
Mwamuzi Anthony Ogwayo mwenye beji ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kutoka Kenya ndiye atakayechezesha mechi kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Burundi (Intamba Mu Rugamba)...
View Article*RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA HOSPITALI KUBWA NA YA KISASA YA CHUO KIKUU...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chung IL wakikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na...
View Article*VIJANA 72 WA VIPAJI VYA SOKA KUTOKA NCHI 12 ZA BARANI AFRIKA WAANZA KUNOLEWA...
Kocha Andrew Stokes kutoka shule ya soka la vijana ya Manchester United, akitoa maelekezo kwa washiriki wa kliniki ya Kimataifa ya soka ya Airtel Rising Stars inayofanyika kwenye uwanja wa Azam Compex...
View Article*UNHWA YA KOREA KUSINI KUISAIDIA NIMR KATIKA UGUNDUZI WA DAWA KWA KUTUMIA MIMEA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya UNHWA ya Jamhuri ya Korea Kusini Bw. Young Woo Jin na ujumbe wake na uongozi wa NIMR walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam jana....
View Article*KUMBUKUMBU YA MAREHEMU JOACHIM BWANAMPINI LEBABU KIRAMBATA
KUZALIWA 02/02/1945 KUFA 04/05/2013TAREHE 04/05/2014 UMETIMIA MWAKA MMOJA KAMILI TANGUMWENYEZI MUNGU AKUITE.ILIKUWA SIKU YA MAJONZI MAKUU KATIKA FAMILIA YETU.KIFO KILITOKEA KATIKA HOSPITALI YA...
View Article