*PRESIDENT KIKWETE MEETS WITH BHARTI AIRTEL CEO IN ABUJA TODAY
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete meets and holds bilateral talks with the CEO of Bharti Airtel Mr Sunil Mittal in the sidelines of the World Economic Forum on Africa today May 7, 2014. Photo By State...
View Article*TWANGA PEPETA SASA KUZINDUA UKUMBI WAO IJUMAA HII
Bendi ya muziki wa dansi ya The African Stars ‘wana twanga pepeta’ ijumaa itazindua ukumbi wa kisasa wa burudani na mikutano wa Machinga Lounge uliopo maeneo ya uwanja wa mpira wa miguu wa Karume...
View Article*BALOZI IDDI AWASILI JIJINI ARUSHA KUFUNGA MKUTANO WA 12 WA CHAMA CHA MAJAJI...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokewa kwenye uwanja wa ndege wa Arusha na Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Chande Othman kwa ajili ya Kufunga Mkutano wa 12 wa Chama cha...
View Article*MSANII KEYSHA APATA MTOTO WA KIUME
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Keysha, akiwa na mtoto wake wa kiume aliyejifungua salama, ambaye anaongeza idadi ya watoto wake na kuwa wa pili. Keysha amejifungua mtoto huyo juzi jumatatu...
View Article*EUROPEAN UNION NAVAL FOR FLAG SHIP F215 BRANDERNBURG VISIT TANZANIA
European Union Naval Force Commander Task Force 465 Jurgen Zur muhlen at the centre Addressing the estimated guest during the Visit to Tanzania, and give thanks to Tanzania Government for good...
View Article*MAWAZO BINAFSI KUTOKA KWA MDAU MIKE, KWA WASANII NA WADAU WOTE WA MUZIKI...
TATIZO = FURSA Ukiijua hiyo hesabu vizuri maisha kwako yatakuwa bam bamWasanii wengi kwa kipindi kirefu tumekuwa tunalalamika kuwa tunabaniwakwenye MEDIA bila kuelewa kwa kifupi tu ukweli wa mambo.Kwa...
View Article*MICHUANO YA BEACH SOOCER YAFIKA PATAMU SASA YAINGIA ROBO FAINALI
Michuano ya mpira wa miguu wa ufukweni (beach soccer) inayoendeshwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ikishirikisha vyuo mbalimbali vya Dar es Salaam imeingia hatua ya robo fainali.Robo...
View Article*FLYING EAGLES YA NIGERIA YATUA DAR ES SALAAM, KUKIPIGA NA NGORONGORO...
Timu ya Nigeria (Flying Eagles) imewasili nchini kwa ajili ya mechi ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 20 dhidi ya Tanzania (Ngorongoro Heroes) itakayochezwa Jumapili (Mei 11...
View Article*KOFI ANNAN: PLUNDER OF TIMBER AND FISHERIES IS HOLDING AFRICA BACK
PRESS RELEASE*Plunder of timber and fisheries is holding Africa back - Kofi AnnanThis year’s Africa Progress Report calls on African leaders to tackle inequality and demands global community tackle...
View Article*WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAPEWA SEMINA YA KUELIMISHA UTUNZAJI WA...
Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu akifungua mkutano na Wahariri wa vyombo vya habari May 7, 2014 jiji Dar es Salaam. juu ya utunzaji wa Mazingira na kuelekea...
View Article*RAIS KIKWETE AKIJUMUIKA NA MARAIS WENZAKE KATIKA MKUTANO WA DUNIA WA UCHUMI...
President Dr, Jakaya Mrisho Kikwete attends a High Level Meeting on the African Strategic Infrastructure Initiative in Abuja, Nigeria,To his right are host President Goodluck Jonathan and H.E. Macky...
View Article*VIBWEKA VYA MAHABUSU VILIVYOTOKEA JANA JIJINI MWANZA AVUA NGUO NA KUBAKI...
Inspector Henry akiwasihi mahabusu hao wawili wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, kuachia mlingoti wa Bendera ya Taifa na kurudi kwenye chumba cha mahakama kwaajiri ya taratibu za kesi. Inspector Henry...
View Article*WIKI YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM YAFANA, WANAFUNZI,SHULE ZA SERIKALI NA...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akiongea na wadau mbalimbali wa elimu wa mkoa wa Dar es salaam wakiwemo walimu wa shule za msingi na sekondari,wamiliki wa shule binafsi na wanafunzi wakati...
View Article*KOCHA PLUIJM AIPA KISOGO YANGA, SASA KUTUA KUIFUNDISHA SHOALA FC YA SAUDI...
Kocha Hans van Der Pluijm wa Yanga anaondoka leo kwenda Saudi Arabia kusaini mkataba mpya.Kocha huyo anakwenda kuingia mkataba na timu ya Ligi Kuu ya Shoala FC ambayo imevutiwa na kazi yake.Pluijm...
View Article*RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA RAIS GOODLUCK JONATHAN WA NIGERIA JIJINI ABUJA JANA
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Goodluck Jonatahn wa Nigeria jijini Abuja jana pembeni ya Mkutano wa Dunia wa Uchumi. PICHA NA IKULU
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU MBILI LA KUDHIBITI...
Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la siku mbili la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya...
View Article*MAMIA WAJITOKEZA KUSHIRIKI SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS KANDA YA KUSINI
Baadhi ya washiriki kutoka Kanda ya Kusini wakiwa wamejitokeza katika usaili wa Kushiriki shindano la Tanzania Movie Talent katika Ukumbi wa Safari lounge uliopo Eneo la Maduka Makubwa, Mtwara Mjini...
View Article*SERIKALI YA TANZANIA YASAINI MSAADA WA ZAIDI YA SH. BILIONI 134 KUSAIDIA...
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kulia) akisaini mkataba wa msaada wa sh. Bilioni 134 kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Balozi EU nchini...
View Article*RAIS KIKWETE AKUTANA NA MFANYABIASHARA MAARUFU WA NIGERIA ALHAJ ALIKO...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mfanyabishara maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote alipokutana naye jijini Abuja, Nigeria, May 8, 2014 pembeni mwa Mkutano wa Dunia wa Uchumi...
View Article