*RAIS KIKWETE AWAAPISHA BALOZI NA WAJUMBE WA TUME YA OPERESHENI TOKOMEZA...
Balozi Joseph Edward Sokoine akila kiapo,kupokea miongozo ya kazi na kupongezwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amemwapisha balozi mmoja pamoja na wajumbe wanne wa...
View Article*MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA) AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA RAIS WA CHINA
Baadhi ya viongozi wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao (hayupo pichani) kwenye Hotel ya...
View Article*WAZIRI MEMBE AWAKEMEA WEZI WA KAZI ZA WASANII
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernald Membe, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Filamu mpya ya I LOVE MWANZA, ililofanyika mwishoni mwa wiki katika Uwanja wa CCM Kirumba...
View Article*PINDA AHUDHURIA MKUTANO WA BENKI YA DUNIA
Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari nje ya Hotel ya Serena ambapo alihudhuria Mkutano wa Tano unaohusu masuala ya Uchumi,kulia kwake ni mkurugenzi wa...
View Article*WADAU KUKUTANA LEO KUJADILI UTAYARI WA TANZANIA KATIKA KUPOKEA NA KUTUMIA...
Meneja Mradi wa Mazingira UNDP, Helene Gichenje akifafanua jambo kwa wadau wa mazingira wakati wa mkutano wa kujadili ripoti ya awali juu utayari wa Tanzania katika kupokea na kutumia fedha za misaada...
View Article*MANISPAA YA ILALA YASAINI MKATABA WA BILIONI 2.1 KWA AJILI YA UJENZI WA...
Wageni waliokuja kuhudhuria utiaji sahihi wa mikataba baina ya manispaa ya Ilala na Wakandarasi wakiwa meza kuu.Kaimu mkuu wa Idara ya Maji Bi Selestina John akiongelea jinsi mradi huo wa maji kwa...
View Article*RAIS KIKWETE ATUA MALABO, EQUTORIAL GUINEA, KUHUDHURIA MKUTANO WA 23 WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mji mkuu wa Equatorial Guinea wa Malabo jana jini 24, 2014 kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Africa – African Union...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA SHEREHE ZA KIJADI ZA WASUKUMA WILAWANI MAGU...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhiwa Usinga na wazee wa kijiji cha kisesa wilayani Magu baada ya kusimikwa kuwa kiongozi wa kabila la wasukuma na,...
View Article*BUNGE LILIVYOPITISHA BAJETI YA SERIKALI MJINI DODOMA JANA
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali kwa Mwaka 2014-015. Wabunge wakimsikiliza Waziri wa fedha Mhe Saada wakati...
View Article*DAR ES SALAAM KUWA KIVUTIO KIKUBWA CHA WAWEKEZAJI NA UTALII MIAKA MICHACHE...
Pichani ni Jengo litakalojengwa jijini Dar es salaam na litagharimu Dola za kimarekani milioni 77,kutakuwa na hoteli ya hadhi ya Nyota Tano, Ofisi za Biashara, kutakuwa na Sehemu ya kuegesha magari,...
View Article*NIMPENDE NANI YA KISWAHILI YA WABONGO WA UHOLANZI KUTINGA SOKONI 'SOON'
Filamu mpya ya kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Muongozaji , Hija Salehe ni Filamu yenye mafunzo, Ucheshi na vihoja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi . Cheki kionjo cha...
View Article*FILAMU YA ESPINHO DA ROSA “THE THORN OF THE ROSE” YATWAA TUZO TATU TAMASHA...
Malkia wa Filamu ya Espinho da Rosa (the Thorn of the rose) ya Filipe Henriques kutoka Guinea Bissau ADY de Batista akiwasili huku akiongozana na Meneja wake Sholey Maqueta kwenye usiku maalum wa tuzo...
View Article*MAKAMU WA RAIS WA CHINA ATEMBELEA SHIRIKA LA RELI LA TANZANIA NA ZAMBIA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao (kulia) akiangalia jengo la Makao Makuu ya Ofisi ya Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya...
View Article*SMALL BOYS, MSHIKAMANO, PACHOTO ZAPIGWA FAINI RCL
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zimezipiga faini ya kati ya sh. 300,000 na sh. 500,000 klabu za Mshikamano FC, Pachoto Shooting Stars, Town Small Boys na Kiluvya United kutokana na makosa...
View Article*WAJUMBE WA BARAZA KUU NA MKUTANO MKUU WA CHADEMA KWENDA KWA MSAJIRI WA VYAMA...
TAARIFA KWA UMMAKUHUSU WAJUMBE WA BARAZA KUU NA MKUTANO MKUU WA CHADEMA KWENDA KWA MSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA NA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI.A.UTANGULIZINdugu...
View Article*NATIONAL CONSULTATION FOR LOCALIZATION OF THE POST 2015 DEVELOPMENT AGENDA...
The guest of honour, Deputy Permanent Secretary in the Prime Minister's Office, Regional Administration and Local Governments, Mr. Jumanne Sagini arrives at the ESRF conference hall accompanied by the...
View Article*BALOZI IDDI AMUAGA MAKAMU WA RAIS WA CHINA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE...
Bwana Christopher Mush Smith wa Hoteli ya La Gema akikata Keki Maalum yenye Bendera za Tanzania na China iliyoandaliwa na Hoteli hiyo kwa ajili ya Mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Watu wa...
View Article*UZINDUZI WA FILAMU YA 'I LOVE MWANZA' HAUKUWA WA KISIASA - BONGO MOVIE
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa taarifa ya kukanusha uzinduzi wa filamu ya "I Love Mwanza" kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kushoto kwa Nyerere ni Sabrina Lupia (Cathy) na kulia...
View Article