*BUNGE MAALUM LA KATIBA LAREKEBISHA KANUNI ILI KUWARUHUSU WAJUMBE WALIOKO NJE...
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.BUNGE Maalum la Katiba limepitisha marekebisho ya Kanuni ili kuliwezesha kufikia hatua ya mwisho ya upigaji kura kuanzia tarehe 29 Septemba hadi tarehe 2 Oktoba...
View Article*VIJANA NCHINI WATAKIWA KUZINGATIA VIGEZO ILI KUNUFAIKA NA MIKOPO YA MFUKO WA...
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui akionyesha Kitabu cha Sera ya Maendeleo ya Vijana kwa waandishi wa habari wakati alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya...
View Article*MAZIKO YA MAREHEMU IDDI PANDU HASSAN MJINI ZANZIBAR LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nnne kulia) akiwepo na Rais Mstaafu wa Zanzibar DK.Amani Abeid Karume wakijumuika na waisalmu katika kumswalia...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA ELIMU KUWAWEZESHA VIJANA KUFANYA...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa na Dkt. Peter Feiler, Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa Kiuchumi katika Wizara ya Ushirikiano wa...
View Article*KINANA AITEKA CHALINZE AKIWA ZIARANI MKOA WA PWANI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kata ya Kiwangwa ambapo alikagua jengo jipya la wodi ya Wazazi.Kituo cha afya cha Kiwangwa kina uwezo wa kuhudumia watu zaidi ya...
View Article*PRESIDENT KIKWETE SPEAKS ON CLIMATE CHANGE IN NEW YORK
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete delivers his opening remarks during a meeting of the Committee of African Heads of State and Government on Climate change(CAHOSCC) held today at the office of the...
View Article*TUNDA MAN ASINDIKIZA SHOW YA VIPAJI WAREMBO MISS TANZANIA BABATI MKOANI MANYARA
Warembo 15 kati ya 30 wanaoshiriki shindano la Miss Tanzania 2014 walisindikizwa na mkali wa Bongo Fleva kutoka Jijini Dar es Salaam, Tunda Man, katika kutoa burudani kali wakati wa shindano dogo la...
View Article*TaSUBa YAASWA KUTOA MAFUNZO YA SANAA NA UTAMADUNI IILI KUKIDHI MAHITAJI YA...
Benjamin Sawe, BagamoyoTaasisi ya Sanaa Bagamoyo imeaswa kuendelea kutoa mafunzo ya sanaa na utamaduni ambayo yatakidhi mahitaji ya soko kwa nchi za Afrika Mashariki. Hayo yamesemwa na Bw Makongoro...
View Article*MRADI WA TEDAP KUTATUA CHANGAMOTO ZA UPATIKANAJI WA UMEME JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja wa Miradi, Usambazaji na Usafirishaji kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Emmanuel Manderabona akiwaonesha waandishi wa habari mfumo wa usambazaji umeme kwenye Moja kituo cha Mradi...
View Article*JENNIFER MGENDI ATOKA NA FILAMU MPYA 'MAMA MKWE' PATA NAKALA YAKO
FILAMU mpya ya muimbaji wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi iitwayo 'Mama Mkwe' inatarajiwa kuigizwa sokoni siku ya Alhamisi baada ya kukwama kuachiwa jana Jumatatu kama ilivyokuwa imepangwa.Aidha...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MWAKA LA WAKAGUZI WA HESABU...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi...
View Article*PRESIDENT KIKWETE IN DIFFERENT ACTIVITIES IN NEW YORK
President Jakaya Mrisho Kikwete greets Senator Chris Coons of Delaware who paid a courtesy call on him in New York in the sidelines of the UN General Assembly. President Jakaya Mrisho Kikwete...
View Article*SERIKALI IMEWATAKA WANANCHI KUJIHADHALI NA VISHOKA KATIKA UPIMAJI WA ARDHI
Mkurugenzi Upimaji na Ramani wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mikazi Bw. Justo Lyamuya akizungumza na waandishi wa habari kuhusu taratibu za upimaji wa viwanja nchini na kutoa tahadhari kwa...
View Article*KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII SI DHAMBI, TUITUMIE VIZURI KWA MALENGO...
Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Bwana Innocent Mungy akisisitiza jambo.**********************************************************Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM.Mitandao...
View Article*KINANA AANZA ZIARA MKOA WA TANGA, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO NA UHAI WA...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akisalimiana na Mkuu waWilaya ya Handeni, Muhimngo Rweyemamu alipowasili wilayani humo, kuanza ziara ya siku 11 mkoani Tanga. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA ELIMU NA AFYA KWA VIJANA DUNIANI...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa :’Getting serious about Results: The Grand Convergence of Education and Health’ ambao ulizungumzia mambo ya elimu na afya...
View Article*DKT. TIZEBA ATOA MISAADA KWA WAHANGA WA MOTO JIMBONI KWAKE
Naibu Waziri wa Uchukuzi ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Buchosa, Dk Charles Tizeba akipanda boti kuelekea kisiwa cha Nyamango kulikotokea ajali ya moto kwa ajili ya kukabidhi...
View Article*UN WAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI KUJADILI...
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkazi wa WFP...
View Article*KINANA ALIPOUNGURUMA HANDENI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kata ya Kwaluguru wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara katika shule ya sekondari Kwaluguru wilayani...
View Article*TUZO ZA WANAMICHEZO BORA ZA TASWA KUTOLEWA DESEMBA 12 MWAKA HUU
Na Mwandishi Wetu.TUZO za Wanamichezo Bora wa Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) zinatarajiwa kufanyika Desemba 12 mwaka huu, huku Kampuni ya Said Salim...
View Article