*WASANII WATINGA VIWANJA VYA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUSIKILIZA RASIMU...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara akiwa katika picha ya pamoja na wasanii maeneo ya viwanja vya bunge hilo leo 24...
View Article*UKOSEFU WA UELEWA NA IMANI POTOFU NI MOJA YA CHANZO CHA UNYANYAPAA KWA...
Na Anna Nkinda – Maelezo, New YorkUkosefu wa uelewa na imani potofu miongoni mwa wanajamii ni moja ya chanzo cha unyanyapaa kwa watoto wenye tatizo la usonji (Autism) .Hayo yamesemwa jana na Mke wa...
View Article*RASIMU KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE...
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza kikao cha bunge hilo leo mjini Dodoma, wakati ikiwasilishwa Rasimu ya katiba iliyopendekezwa. Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa...
View Article*PRESIDENT JAKAYA KIKWETE ADRESSES UN ON CLIMATE CHANGE
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete who is also a Chairman of the Committee of African Heads of State on Climate Change (CAHOSCC) delivers his speech during the Climate Summit plenary at the UN...
View Article*PRESIDENT KIKWETE MEETS VALERIE AMOS AND ICELAND PRESIDENT IN NEW YORK
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with the Un Undersecretary for Humanitarian affairs Ms. Valerie Amos at the UN Headquarters in New York in the morning. President Dr.Jakaya Mrisho...
View Article*BREAKING NEEEEWZZZ!!!! WATU WASIOJULIKANA WASAMBAZA UJUMBE WA VITISHO MJINI...
Watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo huko mjini wamesambaza vipeperushi vya vitisho kwa kubandika na kuandika kwenye ukuta wa Makao Makuu ya CCM na kwingineko wakiwatishia wajumbe wa Bunge maalum la...
View Article*FASTJET YAANZA SAFARI MPYA KATI YA DAR ES SALAAM TANZANIA NA ENTEBE , UGANDA
Captain Sagar Chavda, Muongozaji wa Ndege Kutoka Dar es salaam kuelekea Enteber, akiwa tayari kurusha ndege katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere. Meneja wa huduma kwa wateja, Jean Uku,...
View Article*PRESIDENT KIKWETE MEETS QUEEN MAXIMA
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with Special Representative of the UN Secretary General on Sexual Violence in Conflict Dr.Zainab Bangura at the UN Headquarters in New York this...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA AFYA KUHUSU SARATANI YA SHINGO YA...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kikao cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kichozungumzia masuala ya saratani ya shingo ya kizazi, saratani ya matiti na saratani...
View Article*UNESCO YAWAPIGA MSASA WATENDAJI WA REDIO JAMII
Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye, akiwakaribisha na kuwatambulisha wawezeshaji kwa washiriki wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya...
View Article*YANGA NA SIMBA KUWAPISHA STARS OKTOBA 12 UWANJA WA TAIFA KUCHEZA NA BENIN
TAIFA STARS, BENIN KUCHEZA DAR OKTOBA 12MCHEZO wa Ligi kuu kati ya Yangana Simbauliokuwa uchezwe Oktoba 12, umesogezwa mbele ili kupisha mchezo wa kirafiki wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)...
View Article*ZIARA YA KINANA WILAYA YA KILINDI MKOANI TANGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Kwediboma wakati wa mapokezi .Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaslimia wakazi wa Kwediboma wilaya ya Kilindi...
View Article*SERIKALI IMEJIPANGA KUTATUA TATIZO LA MAKAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
Fatma Salum-MaelezoSerikali imejipanga kutatua tatizo la makazi kwa watumishi wa umma kwa kujenga nyumba Elfu 10 za gharama nafuu kote nchini.Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mtendaji Mkuu wa...
View Article*BALOZI SEIF ALI IDD AKANUSHA MADAI MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA GAZETI LA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Idd akikanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania la Jumatano 24 Septemba, 2014. Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUZ KIVUKO CHA MV TEGEMEO KUFANYA SAFARI ZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rsmi Kivuko cha Tegemeo tayari kuanza kufanya safari zake kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema,...
View Article*EVELYN BAASA NDIYE MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2014
Miss Tanzania Photogenic 2014, Evelyn Baasa. Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya Redd’s Miss Tanzania Photogenic 2014, wakiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa taji hilo, Evelyn...
View Article*KINANA ALIPOTUA KOROGWE VIJIJINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishona nguo kwenye ofisi ya Veronica Simba (kushoto) iliyopo Mombo Sokoni,kulia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini Ndugu Stephen Ngonyani ,Katibu Mkuu alikuwa...
View Article*NBS YASISITIZA MATUMIZI YA KANZA (DATA BASE) YA TAKWIMU ZA KILIMO
Mwakilishi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO) Bi. Julia Stone akizungumza na wadau mbalimbali wakati wa semina ya uhamasishaji wa matumizi ya Kanzi ya takwimu za Kilimo nchini leo jijini Dar es...
View Article*SIMBA WANAONGOZA BAO 1-0
Emmanuel Okwi, anaipatia Simba bao la kuongoza akiunganisha mpira wa krosi ya beki wake wa kushoto, Mohamed Hussein.
View Article