Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MATUKI BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO 27 SEPTEMBA, 2014 MJINI DODOMA

 Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu, akiendesha kikao cha Bunge mjini Dodoma leo. Mjumbe wa Bunge maalum la Katiba, Magreth Sitta, akichangia. Mjumbe George Mkuchika,...

View Article


*PRESIDENT JAKAYA MRISHO KIKWETE ADDRESSES THE 69TH UN GENERAL ASSEMBLY IN...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*PRESIDENT KIKWETE VISITS CNN STUDIOS IN NEW YORK

President Jakaya Mrisho Kikwete chats with  Cable News Network (CNN) 's Richard Quest and Maggie Lake when he visited  CNN Studios at the  Time Warner Cente in New York.  CNN is an American basic cable...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAKE WA MARAIS PAMOJA NA VIONGOZI WATAKIWA KUCHUKUA HATUA KUHAKIKISHA WATOTO...

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Joyce Banda, Rais Mstaafu  wa Malawi muda mfupi kabla ya kuanza mkutano wa Wake wa Marais na...

View Article

*POLISI WANASAWAZISHA DANNY MRWANDA

Dakika ya 50, Danny Mrwanda, wa Polisi Moro, anaisawazishia timu yake na sasa matokeo ni 1-1 mpira unaendelea.

View Article


*NAPE: MAANDAMANO CHADEMA NI BIASHARA

  Adai huuzipeleka picha za vurugu nje ya nchi  Adai Chadema wanafanya ili kukinusuru chama chao  Awatuhumu kuwatoa kafara waandamanaji  Asisitiza laaana ya damu za Watanzania hazitawaacha.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SIMBA YAKAMWATWA NA POLISI UWANJA WA TAIFA

Beki wa Simba, Nassor Chollo, (no 2) akiruka kumdhibiti mshambuliaji wa Polisi Moro, Danny Mrwanda, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINGUNGE ATOA SOMO MJINI DODOMA

Na Magreth Kinabo,DodomaMjumbe wa  Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni mwanasiasa mkongwe nchini , Mzee Kingunge Ngomabale Mwiru amesema  Katiba bora ni ile itakayozingatia  historia  mafanikio ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TIMU YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAAGWA LEO KUELEKEA MOROGORO KATIKA MICHEZO...

Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamali Watu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. D. Mndeme (kushoto) akizungumza na wanamichezo wa Ofisi yake wakati akiwaaga na kukabidhiwa vifaa vya michezo leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MATUKIO KATIKA PICHA MCHEZO WA SIMBA NA POLISI MORO JANA

 Mshambuliaji wa Polisi Morogoro, Danny Mrwanda (kulia) akijaribu kumhadaa kiungo wa Simba, Jonas Mkude, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*LINE UP WANAOANZA KUKIMBIZA YANGA v/s TANZANIA PRISONS

View Article

*YANGA INAONGOZA BAO 1-0 SASA NI KIPINDI CHA PILI

Andrey Coutinho, ameipatia bao Yanga katika dakika ya 34 kwa mpira wa adhabu. Mchezaji mmoja wa Prisons, Jacob Mwakalobo, apewa kadi nyekundu.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*'WAFUNGWA WA MANUNGU YANGA' WAWAKIMBIZA MAAFANDE WA TANZANIA PRISONS UWANJA...

 Mshambuliaji wa Yanga, Jenilson Santos 'Jaja' akijikunja kupiga shuti mbele ya beki wa Tanzania Prisons, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TIMU YA IKULU YAJIIMARISHA MICHUANO YA SHIMIWI 2014

Wacheaji wa timu ya Ikulu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wao kabla ya mchezo wao kwenye mashindano ya SHIMIWI dhidi ya timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo jana. Mchezo huo...

View Article

*KINANA NA BAJETI YA OFISI YA TAWI LA KWEKANGAGA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KUCHANGIA MFUKO WA BONNAH EDUCATION TRUST FUND...

 Mgeni Rasmi katika hafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund,Mwenyekiti wa CCM Mkoawa Dar es Salaam,Ndg. Ramadhan Madabida akitoa hotuba yake kabla ya kuanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ZIARA YA KINANA JIMBO LA MLALO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa kijiji cha Kwekangaga ikiwa siku ya pili ya ziara yake katika wilaya Lushoto ambapo alishiriki ujenzi wa ofisi ya tawi la CCM. Katibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*EDGAR MUTTA NA WAZAZI WAKE WAFANYA MISA YA SHUKURANI

Padri Evod Shao (kulia) akiongoza  misa ya shukurani ya Edgar Mutta  (hayupo pichani) iliyofanyika Silver Spring, Maryland nchini Marekani ya kumtolea Mungu shukurani ya kuwezesha kupoma maradhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MICHUANO YA SHIMIWI MJINI MOROGORO

Mfungaji mahiri wa magoli wa timu ya mpira wa pete Ikulu aliyecheza nafasi ya (G.S) Monica Kassy akiwania mpira dhidi ya wapinzani wao RAS Morogoro wakati wa mechi ya ufunguzi ambapo Ikulu walishinda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MATUKIO KATIKA PICHA MCHEZO WA YANGA v/s TANZANIA PRISONS TAIFA JANA,...

 Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho (katikati) akiwa katikati ya msitu wa mabeki wa Tanzania Prisons, wakati wa mcheso wa Ligi Kuu Tanzania Bara jana, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>