Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AZINDUA SHULE YA MSINGI NTULYA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mwanzilishi na Mkurugenzi waShirika la Africa School House Bi.Ainee Bessire (watatu kushoto) pamoja naMbunge wa Misungwi Charles Kitwangwa(kushoto) na mkuu wa mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*REDD'S MISS TANZANIA 2013 WATEMBELEA RADIO 5 YA JIJINI ARUSHA

Mtangazaji wa kipindi cha burudani cha Funika Base kutoka Radio 5 ya Mjini Arusha , Julius Kamafa (kushoto) akifanya mahojiano na Washiriki wa Shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 katika studio za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 LATIKISA JIJI LA MBEYA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya,ambaye kwa sasa anafanya vyema kwenye anga za muziki huo,Neylee akiimba kwa hisi jukwaani huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea kwa shangwe ndani ya uwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE ZIARANI MISUNGWI MKOANI MWANZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia ngoma za utamaduni wakati alipowasili katika Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza kuanza ziara ya kikazi  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*STARS YAMALIZA VIBAYA MCHEZO WAKE WA KUWANIA TIKETI YA KUCHEZA KOMBE LA...

Na Boniface Wambura, BanjulTIMU ya Taifa Stars imemaliza vibaya mechi za mchujo za Kombe la Dunia, Kanda ya Afrika baada ya kufungwa na Gambia huku Kocha Kim Poulsen akisema timu yake imefungwa mabao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZINDUA MADARASA YA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA MBWENI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa jengo la madarasa ya Chuo cha Taaluma za Sayansi ya Afya,lililogharamiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

* TAMASHA LA WANAFUNZI LA 'MTAKUJA' KUFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 14/09/2013

Baada ya muda mrefu kupita bila kuwa na tamasha lolote la wanafunzi hasa wa shule za Sekondari, uongozi wa Mtakuja Secondary School ua Kunduchi kwa kushirikiana na mtangazaji maarufu Allan Lucky 'Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NAPE AZINDUA MBIO ZA BENDERA MKOANI IRINGA.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na wananchi wa eneo la Ruaha Buyuni waliokuja kumpokea tayari kwa uzinduzi wa Mbio za Bendera. Wamama kutoka mkoa wa Iringa wakicheza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*JK AZINDUA MIRADI YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI WA MAGU

  Rais Jakaya Kikwete akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Magu eneo la  Ilungu karibu na mji wa Magu.  Jengo hilo litagharimu shilingi bilioni 6 na milioni 700...

View Article


*MWILI WA MTANZANIA ADUBO M. OMAR UPO MONTUARY DALLAS TEXAS TOKA AGOSTI 26,...

Mtanzania Adubo M. Omar yupo Montuary Dallas Texas nchini Marekani tangia Aug 26, 2013 Frank Maji ambaye ametuletea habari hizi amesema Marehemu alishawahi ishi miji ya Cedar Rapids na, Des Moines...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ISLAMIC BANKING YA NBC KUPELEKA WATEJA WAWILI NA WENZA WAO HIJJA

 Kaimu Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki kwa Kufuata Kanuni za Kiislamu (Islamic Banking), wa Benki ya NBC Tanzania, Yassir Masoud (katikati) akizungumza katika droo ya awamu ya pili  kupata washindi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NARIETHA BONIFACE ATWAA TAJI LA REDD’S MISS TANZANIA TOP MODEL

 Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface akipozi kwa picha mara baada ya kushinda taji hilo jana na kuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI IDDI ATEMBELEA HOTELI YA SUN SET BUNGALOWS ILIYOUNGUA MOTO MJINI...

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mmiliki wa Hoteli ya Sun Set Bungalows iliyoko katika Kijiji cha Kendwa Nungwi Abdullsamab Ahed Said akikagua athari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KAMATA FURSA TWENZETU MKOANI IRINGA

 sehemu ya meza kuu. Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya ASAS,Salim Abri  akizungumza na wakazi wa mji wa Iringa na vitongoji vyake waliojitokeza kwenye semina ya kamata fursa twenzetu,ASAS amejitolea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA KUFUA UMEME NYAKATO, AWAHUTUBIA MAELFU

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wakazi wa Mwanza na miji ya jirani katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana jioni.Rais Kikwete yupo Mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KIWANDA CHA KWANZA CHA KUCHAMBUA TAKA CHAZINDULIWA GONGO LA MBOTO JIJINI DAR

Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto ambaye pia ni Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akimlaki mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WADAU TUMSAIDIE KAMANDA WETU ZUBEIRY MUSSA

MPIGA picha wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Dimba, Bingwa Rai na The African, Zuberi Mussa (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Mwandishi Dotto Mwaibale...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE ATAWAZWA KUWA MTEMI WA SUNGUSUNGU KITAIFA

Chifu wa Wasukuma Wilaya ya Kwimba Shimbi Martin Morgan akimabidhi silaha za jadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe za kumtawaza kuwa Mtemi wa Sungusungu Kitaifa, zilizofanyika kijiji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*AZONTO ILIVYOPAGAWISHA MASHABIKI MWISHONI MWA WIKI DAR

 Menina akifanya yake jukwaani. Vanessa jukwaani akiimba Closer Snura Majanga akitoa burudaniWalter Chillambo akiimba  Mashabiki waliojitokeza wakishangilia  Fuse ODG akifundishwa kucheza kiduku na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MAONESHO YA NYARAKA ZA KITAIFA NA KUMBUKUMBU ZA OMAN...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi maonesho ya nyaraka ya kitaifa na kumbukumbu za Oman yaliyofanyika Sept 09-2013 katika...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>