Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya Barclays Tanzania, Anna Chacha (kulia) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) jana kuhusu fursa mbalimbali za ajira ndani ya benki hiyo na pia nini wafanye ili kuweza kumudu ushindani katika soko la ajira ndani ya sekta za kibenki.
Mkuu was Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Barclays Tanzania, Neema-Rose Singo (kushoto) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) jana kuhusu fursa mbalimbali za ajira ndani ya benki hiyo na pia nini wafanye ili kuweza kumudu ushindani katika soko la ajira ndani ya sekta za kibenki.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya Barclays Tanzania, James Meitaron (kulia) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) jana.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) wakishiriki semina kuhusu fursa mbalimbali za ajira iliyoandaliwa na Benki ya Barclays Tanzania chuoni hapo, Dar es Salaam jana. Mbali na fursa zilizo ndani ya banki hiyo pia walielekezwa nini cha wafanye ili waweze kumudu ushindani katika soko la ajira ndani ya sekta za kibenki.
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Khalifa Gwando (kulia), akipokea barua za wasifu (cv) kutoka kwa baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) jana mara baada ya semina kuhusu fursa mbalimbali za ajira ndani ya benki hiyo na pia nini wafanye ili kuweza kumudu ushindani katika soko la ajira ndani ya sekta za kibenki.