Mshabuliaji wa Cameroon, Joel Matip, akiifungia timu yake bao pekea la kufuta machozi wakati wa mchezo wao wa Kund A, ambapo tayari Cameroon imefungashiwa virago katika michuano hiyo kwa kupigwa mabao 4-1 na Brazil na kujikuta ikiondoshwa katika michuano hiyo bila kuambulia hata Pointi moja tu.
Neymar, akiifungia timu yake bao la pili...
Wachezaji wa Brazil, wakishangilia ushndi....
Kikos cha Cameroon, kikiwa bila mastaa...
Kikosi cha Brazil....
Akilalama baada ya kuchezewa 'Chakula'....
Akijaribu kuachia shuti....
Wanaume wakiwajibika......