HABARI ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA, NDEGE YA MIZIGO IMEANGUKA MAPEMA ASUBUHI HII JIJINI NAIROBI. NDEGE HIYO IMEANGUKA MUDA MCHACHE BAADA YA KURUKA KUTOKA UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA JIJI NAIROBI ILIYOKUWA IKIELEKEA MOGHADISHU. IMEELEZWA KUWA RUBANI WA NDEGE HIYO AMEFARIKI DUNIA. KAA NASI TUTAENDELEA KUWALETEA HABARI HIZI KADRI ZITAKAVYO TUFIKIA.
↧