$ 0 0 HABARI ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA BALOZI WA LIBYA NCHINI, AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO, HUKU ZIKIVUMA TETESI KUWA AMEJINYONGA. MTANDAO HUU UTAENDELEA KUKULETEA HABARI KADRI ZITAKAVYOTUFIKIA.