Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UZINDUZI RASMI WA FARIDAS FOUNDATION WAFANA

Mkurugenzi  Farida A. Sekimonyo wa Faridas Foundation Akiomba Sala ya  Uzinduzi Rasmi wa Foundation Mshehereshaji wa Shughuli ya uziinduzi wa Faridas Foundation Taji Liundi  Elias Masaki katibu mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT INAWATAKIA WADAU WOTE MFUNGO MWEMA WA...

RAMADHAN KAREEM, AMEN

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WANANCHI WALIO WENGI HAWANA MATARAJIO MAKUBWA YA ELIMU YA WATOTO WAO MASHULENI

*Wazazi watathmini ujuzi wa watoto japo ni wa chini ila kwa usahihi.*Na wala hawaoneshi kudai kubadili hali hii katika siku zijazoMwananchi 1 tu kati ya 10 ndiye anayefikiri kuwa watoto wengi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAIFA STARS KUJPIMA NGUVU NA BOTSWANA LEO

Timu ya Taifa (Taifa Stars) inacheza mechi ya kirafiki na Botswana leo (Julai Mosi mwaka huu) kuanzia saa 9 alasiri kwa saa za huko.Mechi itakayofanyika Uwanja wa Taifa jijini Gaborone ni sehemu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KLABU YA MBEYA CITY, PRISONS KUJARIBU TIKETI ZA KIELEKTRONIKI

TIMU za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) za Mbeya City na Tanzania Prisons zinacheza mechi ya kirafiki Jumamosi (Julai 5 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.Mechi hiyo ambayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SERENGETI BOYS YAJINOA KUIKABILI AFRIKA KUSINI

Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) inaendelea vizuri na mazoezi kujiandaa kwa mechi ya mashindano dhidi ya Afrika Kusini (Amajimbos).Mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WACHEZAJI WATANO WAOMBEWA ITC

Wachezaji watano wameombewa Hati ya Uhamisho ya Kimataifa (ITC) ili waweze kucheza mpira wa miguu nchini na nje ya Tanzania.Abdulhalim Humoud kutoka Simba, Crispine Odulla (Coastal Union) na Haji...

View Article

*BREAKING NEEEEWZZZ!!!! NDEGE YA MIZIGO YAANGUKA NAIROBI

HABARI ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA, NDEGE YA MIZIGO IMEANGUKA MAPEMA ASUBUHI HII JIJINI NAIROBI. NDEGE HIYO IMEANGUKA MUDA MCHACHE BAADA YA KURUKA KUTOKA UWANJA WA NDEGE WA JOMO...

View Article


*BREAKING NEEEWZ!!! BALOZI WA LIBYA NCHINI TZ AFARIKI DUNIA

HABARI ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA BALOZI WA LIBYA NCHINI, AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO, HUKU ZIKIVUMA TETESI KUWA AMEJINYONGA. MTANDAO HUU UTAENDELEA KUKULETEA HABARI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ISSA MICHUZI AFURAHISHWA NA HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA MFUKO WA PPF KATIKA...

Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Ndg Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MADHIMISHO YA MIAKA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano mwa Tanzania Mhe. Dkt Mohammed Gharib Bilal, Mkewe Mama Zakhia Bilal, Rais wa Burundi Mhe. Piere. Nkurunzinza, na baadhi ya viongozi wa meza kuu, wakisimama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MCHUJO WA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KUANZA RASMI...

 Jukwaa likitengenezwa kwaajili ya Washiriki Wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kupanda jukwaani na kuanza kuonyesha vipaji vyao, Onyesho hili ni onyesho la kwanza la kuelekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMA SALMA KIKWETE AMPOKEA MALKIA NOMSA MATSEBULA WA SWAZILAND

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana usiku. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MECHI YA KUJIPIMA NGUVU TAIFA STARS YACHAPWA MABAO 4-2

Timu ya Taifa 'Taifa Stars' jana imekubali kipigo cha mabao 4-2 kutoka kwa wenyeji wao Botswana katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu uliopigwa kwenye Uwanja wa Gaborone kabla ya kukutana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MBRAZIL ANDREY COUTINHO AKABIDHIWA JEZI YA DIDIER KAVUMBAGU YANGA

Na Sufianimafoto Reporter, DarKIUNGO mpya wa Yanga Mbrazil, Andrey Coutinho, amewataka mashabiki wa Klabu hiyo na wanachama kuondoa hofu na kusubiri kupata raha na burudani ya soka kutoka kwa Klabu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*IDADI YA WATU WALIOKUFA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MIZIGO JOMO KENYATTA LEO...

Askari wa Jeshi la Kenya wakiwa eneo la tukio wakijaribu kutoa msaada katika Ndege ya mizigo iliyoanguka leo asubuhi katika eneo la Utawala kwenye Uwanja wa Jomo Kenyatta, jijini Nairobi.Taarifa kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*LOWASSA ASHIRIKI SHEREHE ZA JUBILEI YA MIAKA 25 YA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA...

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SSEBO NAYE ATIMKIA E Fm YA MKUDE SIMBA

Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a Ssebo amejiunga na Radio ya E FM ambayo imekwishajizolea umaarufu mkubwa jijini Dsm kwa kipindi kifupi tu kutokana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*AROBAINI YA AMINA NGALUMA KUFANYIKA JUMAMOSI YA WIKI HII KITUNDA MACHIMBO DAR

Na Mwandishi Wetu, DarKISOMO cha 40 ya aliyekuwa mwimbaji mahiri nchini, marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’ kinatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii Kitunda, Machimbo Dar es Salaam.Akizungumza na gazeti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*GARI LA MAGEREZA LILIVYOSHAMBULIWA KWA RISASI NA MAJAMBAZI JIJINI DAR ES...

MAJAMBAZI WALILISHAMBULIA KWA RISASI BASI LA JESHI LA MAGEREZA LIKIWA NA WATUHUMIWA NDANI LIKITOKA MAHAKAMA YA KAWE WAKIWAMO MAJAMBAZI SUGU NA KUJERUHI ASKARI WAWILI.Habari za uhakika zimeifikia hivi...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>