Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*RAIS KIKWETE AKIWA ZIARANI NGARA MKOANI KAGERA LEO

$
0
0
 Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka, akiwaeleza wananchi wa Ngara kuhusu mipango mbalimbali ya baraza la ardhi, wakati wa siku ya tatu ya ziara ya Rais Jakaya Kikwete, mkoani Kagera.
 Waziri wa kilimo christopher chizza akielezea mipango kabambe ya kilimo.
 Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe aklieleza mipango kabambe ya maji.
Waziri wa nishati na madini profesa sospeter muhongo akieleza mikakati.

Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mkutano huo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>