*MASHALI AWAFANANISHA MABONDIA WENZAKE, MAUGO NA NYILAWILA KAMA MIDOLI ''ME...
Bondia Thomas Mashali akionesha midoli yake anayoifananisha na mabondia wenzake, Kalama Nyilawila (kushoto) na Mada Maugo (kulia), wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika gym yake iliyopo Manzese,...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AFUTURISHA VIONGOZI WA DINI MBALIMBALI MKOANI LINDILINDI
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na viongozi wa dini mbalimbali wa Lindi baada ya kuwaandalia futari nyumbani kwake hapo mjini Lindi jana.Baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali na serikali wa...
View Article*TAIFA STARS 'OUT' FAINALI ZA CHAN MWAKANI, UGANDA YASONGA MBELE YAICHAPA...
Wachezaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars' na Uganda 'The Cranes', wakiingia uwanjani tayari kwa kuanza mechi yao ya marudiani ya kufuzu kucheza fainali za Chan mwakani zitakazofanyika nchini Afrika ya...
View Article*RAIS KIKWETE AKIWA ZIARANI NGARA MKOANI KAGERA LEO
Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka, akiwaeleza wananchi wa Ngara kuhusu mipango mbalimbali ya baraza la ardhi, wakati wa siku ya tatu ya ziara ya Rais Jakaya...
View Article*CAG AHUDHURIA KIKAO CHA 67 CHA BODI YA UKAGUZI WA UMOJA WA MATAIFA NA...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick S. L. Utouh (Kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-Moon baada ya Mkutano wa 67 wa Bodi ya Ukaguzi wa...
View Article*MKIMBIAJI WA KIKE MKENYA, IRENE CHEBET CHEPTAI, AANGUKA NA KUZIMIA WAKATI...
Jopo la Madaktari wakihaha kumpatia huduma ya kwanza, mkimbiaji mwanadada wa nchini Kenya, Irine Cheptai, aliyeanguka na kuzimia wakati akimalizia mbio za mita 3,000 kwenye Uwanja wa Olimpiki.Cheptai...
View Article*MUSOMA TEXTILE MILLS (T) Ltd EMERGED ‘SOLID WASTE MANAGEMENT WINNER 2013’
The cleaner Production Centre of Tanzania (CPCT) dealing with Resource Efficiency and Cleaner Production (RECP) has conducted training on RECP to all manufacturing industries in Tanzania.The training...
View Article*WAKAZI WA MKOA WA LINDI WATAKIWA KUHAKIKISHA VIJANA WAO WANAKUWA NA UADILIFU
Na Anna Nkinda – Maelezo, LindiMke wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wakazi wa mkoa wa Lindi kuhakikisha kuwa vijana wao wanaishi maisha ya uadilifu, wanamcha Mwenyezi Mungu na kusoma elimu ya...
View Article*KUMBUKUMBU ZA VITA YA KAGERA NA MASHUJAA WA TANZANIA WALIOMKIMBIZA IDDI AMINI
Chokochoko za Nduli Iddi Amin Dada, kuichokoza Tanzania hadi kupelekea kuanza kwa vita iliyomfaya aikimbie nchi yake mwaka 1978, ulikuwa ni Mto huu wa Kagera, ambapo alikuwa akitaka mto huu ndiyo uwe...
View Article*BALOZI SEIF IDDI, AFUTARISHA WATENDAJI WA WIZARA YAKE
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akitoa huduma za vyakula katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif pamoja na watendaji...
View Article*MANENO MBEGU NA QUEEN SENDIGA WAMEREMETA
Bwana Harusi Maneno Mbegu akivishwa pete na mwandani wake, Queen Sendiga walipokuwa wanafunga ndoa hivi karibuni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam. Maneno...
View Article*KIBAKA ANUSURIKA KUFA KWA KIPONDO CHA WANANCHI KAWE
MTU mmoja aliyetuhumiwa kuwa ni mwizi (pichani chini kulia) amenusurika kufa baada ya kundi la wananchi kumpa kipigo cha mbwa mwizi leo mchana katika eneo la Mbezi-Darajani, Kawe jijini Dar es Salaam....
View Article*WANA DMV KATIKA FUTAARI YA PAMOJA
Juu na chini Swala ikiendelea.Omar Ally (kushoto), Afisa Ubalozi Abbas Missana (kati) katika picha ya pamoja na mdau ambaye jina lake halikupatikana wakiwa nje wakivutavuta mida huku wakibadilishana...
View Article*MAMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUISHI MAISHA YA UPENDO NA...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na baadhi ya wananchi wa Lindi aliowaalika kwenye futari mara baada ya kuwafuturisha nyumbani kwake,Lindi Mjini jana.Mke wa Rais Mama Salma Kkwete...
View Article*RAIS KIKWETE AKIWA KATIKA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Kagoma-Lusahunga katika wilayani Biharamulo. Rais Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na wananchi wa Ngara baada ya kuzindua...
View Article*DAVIS MOSHA AHOJIWA NA VOA (VOICE OF AMERICA)
Edgar Davis Mosha mtoto wa mfanyabiashara tajiri na maarufu boss wa kampuni ya DELINA Bwana Davis Mosha ahojiwa na VOA (Voice of America). Edgar na baba yake wametua kwa kishindo nchini Marekani...
View Article*BAADA YA KUTEMWA NA SIMBA, LIPULI YA IRINGA YATENGA DAU LA KUMNASA JUMA KASEJA
Baada ya kutemwa na Klabu yake ya Simba na timu kadhaa kumtolea nje, aliyekuwa kipa namba moja wa Klabu ya Simba, Juma Kaseja, ambaye kwa sasa ni Kipa Namba moja wa timu ya Taifa Taifa Stars, sasa kipa...
View Article*WANACHAMA WA MFUKO WA MAENDELEO YA MTANDAO WA WANAMBWEWE WAISHIO DAR ES...
MBUNGE wa Chalinze, wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani, Saidi Mwanamdogo, akizungumza na wanachama wa Mfuko wa Maendeleo ya Wanambwewe waishio Dar es Salaam (MNDF), leo katika ukumbi wa Shule ya Msingi...
View Article*WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA NA KUTOA MSAADA
Wafanyakazi wa Benki ya NBC kitengo cha operesheni, wakipozi kwa picha na watoto wanaolelewa katika kituo cha Ijango Zaidia Orphanage cha Sinza walipokwenda kupeleka msaada wa vyakula, sabuni, mafuta...
View Article