Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAZIRI MKUU WA THAILAND YINGLUCK SHINAWATRA KUTUA NCHINI KESHO

Ndugu Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam,Napenda nichukue fursa hii kuwajulisha rasmi kwamba Nchi yetu imepata heshima ya kutembelewa na Waziri Mkuu waThailand ambaye atawasili Nchini tarehe 30/07/2013....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UWAKILISHI WA KUDUMU WA NEW YORK WAMUAGA BALOZI MERO

Moja ya Zawadi ambazo wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa waliyomizawadia Bw. Mero kama kumbukumbu, kutoka kushoto ni Balozi Tuvako Manongi na mkewe Upendo, Balozi Modest Mero na mkewe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*JIJI LA DAR ES SALAAM KUWA MWENYEJI WA MAONYESHO YA VODACOM ELIMU EXPO 2013...

 Naibu Waziri wa Elimu, Phillip Mulugo, akizungumza na waandishi wa habari, kwenye Ukumbi wa Kivukoni, Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa maonyesho ya siku...

View Article

*TANGAZO TANGAZO TANGAZO!!!!!

Blogu yako ya www.tabianchi.blogspot.com inayotoa habari za usafiri wa anga, mazingira, maliasili na utalii, inakuletea kampeni ya ‘Share your experince’.Ambapo wadau, watu binafsi na makampuni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS WA ZANZIBAR, DKT. SHEIN NA MAKAMU WA RAIS DKT BILAL, WAFUTURU NA...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, pamoja na Viongozi wengine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MSTAHIKI MEYA JERRY SILAA KUPITIA MDAU AKABIDHI VIFAA KWA AL - MADRASSATUL...

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumza na uongozi wa Al Madrassatul Munauwaratul Islamiya iliyopo Msasani Bonde la Mpunga Ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla fupi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KIJIWE CHA UGHAIBUNI KESHO JUMANNE JULY 30, 2013

 Wanakijiwe kutoka kushoto ni Dotto Mwallongo, David Ndunguru na Jabir Jongo wakikutayarishia kipindi chako ukipendacho cha KIJIWE CHA UGHAIBUNI kitakachorushwa kesho Jumanne.  Wanakijiwe kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAANDISHI WAPATA TUZO YA USALAMA WA BARABARANI

Na Jennifer Chamila,MAELEZO.TAASISI ya Automobile Association Tanzania (AAT) imetoa tuzo kwa waandishi wa habari kutoka katika  vyombo vya mbalimbali vya habari walio shiriki katika kutoa habari kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE ATAWAZWA OMUKAMA (CHIFU) WA MISSENYI, AHITIMISHA ZIARA YA KAGERA

 Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya. Rais Jakaya Kikwete...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA ALIYEKUWA MHASIBU MKUU WA OFISI YA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili Kigogo Mburahati, jijini Dar es Salaam, leo Julai 30, 2013 nyumbani kwa aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA KYAKA-BUGENE, APONGEZA WANAHABARI...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Kyaka-Bugene kwa kiwango cha lami katika kijiji cha  Bunazi, mkoani Kagera, akiwa na mawaziri alioongozana nao katika...

View Article

*KIJIWE CHA UGHAIBUNI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MKOA WA RUKWA KUJENGWA CHUO KIKUU

Mwenyekiti wa Sekretariati ya  Jukwaa  la Maendeleo  Mkoa wa Rukwa Bw.Joachim Sikulumbwe kushoto ,akiongea na  waandishi wa habari kuhusu mkakati wa kuanzisha chuo kikuu katika mkoa wa Rukwa  kulia ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAZIRI MKUU WA THAILAND AWASILI TANZANIA KWA ZIARA YA SIKU 3

Waziri mkuu wa Thailand Bi. Yingluck Shinawatra akiwasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Waziri mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KISOMO CHA KUMWOMBEA MAREHEMU SAID JETHA MWANAHANJI NA FUTARI YA PAMOJA DMV.

kutoka kushoto ni Habiba na mwanae Mrs Mtalemwa, Farida na Asha katika picha ya pamoja Jumamosi Aug 3, 2013 wakati Farida na Habiba na familia zao waliposoma kisomo cha kumuombea marehemu baba yao Mzee...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ALIPOWASILI IRAN JANA KUHUDHURIA SHEREHE ZA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya IRAN alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WANACHAMA WA HABARI GROUP WAPELEKA MISAADA VITUO VYA WATOTO YATIMA

Diwani wa Viti Maalumu na Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Fonditioni, Aisha Sururu kulia akiwakabidhi sehemu ya msaada alioutoa kwa ajili ya kuchangia watoto yatima kwa wanachama wa kikundi cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*DKT SHEIN AWAKARIBISHA BILL CLINTON NA BINTIYE CHELSEA ZANZIBAR LEO

 Mtoto wa  Rais Mstaafu wa Marekani, Chelsea Clinton,akipiga mpira kama ishara ya kufungua mpambano wa Timu za wachezaji wa zamani katika sherehe za Ziara ya Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*YANGA YAONYESHA MATUNDA YA MAANDALIZI YA LIGI KUU MSIMU UJAO, YAIBANJUA...

  Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima (kulia) akiruka kukwepa kwanja la beki wa Mtibwa Sugar, Hassan Ramadan (katikati) wakati wa mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kujiandaa na Ligi Kuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*CATHERINE FOUNDATION YATOA MKONO WA IDD EL FITIRI KWA YATIMA ARUSHA

 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha na Mkurugenzi wa Taasisi ya Catherine Foundation, Catherine Magige akikabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Help for...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>