
Luis Figo (kulia) akimfinya beki wa Tanzania Eleven, Shadrack Nsajigwa, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa wa wachezaji wa zamani wa timu ya Real Madrid na wa zamani wa Tanzania katika timu za Yanzaga, Simba na Taifa Stars, uliopigwa jana jioni kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Madrid waliibuka na ushindi wa mabao 3-1.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Tanzania.
Rais jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Madrid.![]()
Benchi la Tanzania.
Kikosi cha kwanza cha Tanzania.![]()
Christian Kalembeu, akipiga picha ya kumbukumbu na Rais.
Aliyepiga Hat Trick akikabidhiwa mpira wake na Rais Jakaya Kikwete.
