*WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA BODI YA MAGAVANA WA BENKI PTA
Na Lorietha LaurenceWaziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda amefungua rasmi mkutano wa 30 wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki chini ya udhamini wa Benki ya PTA leo jijini...
View Article*VIFAA VYA KUBAINI DALILI ZA AWALI ZA UGONJWA WA EBOLA KUPITIA JOTO LA MWILI...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Steven Kebwe akiongea na waandishi wa habari eneo la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa kupokea na kukabidhi vifaa vya kupima dalili za...
View Article*RAIS KIKWETE ATAWAZWA KUWA CHIFU MSAIDIZI WA WALUGULU NA KINOLE,MOROGORO...
CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14, akijiandaa kumtawaza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Chifu Msaidizi wa kabila hilo katika sherehe za aina yake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya...
View Article*JAKAYA ZIARANI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua jengo jipya la Chama cha Kuweka na Kukopa (SACCOS) cha kijiji cha Kinole, Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe...
View Article*SNURA KUTUA NA MAJANGA TARIME
NA MWANDISHI WETUMWANAMUZIKI mahiri Tanzania na Afrika Mashariki katika mtindo wa mduara, Snura Mushi, anatarajiwa kutumbuiza kwenye Viwanja Vya Nyamongo, Rorya, onyesho ambalo linatarajiwa kuwa la...
View Article*MADRID ILIVYOWAACHA HOI TANZANIA ELEVEN UWANJA WA TAIFA JANA, 'HAWA...
Luis Figo (kulia) akimfinya beki wa Tanzania Eleven, Shadrack Nsajigwa, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa wa wachezaji wa zamani wa timu ya Real Madrid na wa zamani wa Tanzania katika timu za...
View Article*MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA SAMUEL SITTA AKUTANA NA WAKULIMA WA PAMBA,...
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akizungumza na baadhi viongozi na wajumbe kutoka Chama cha Wakulima Wadodowadogo wa zao la Pamba Tanzania(TACOGA) katika ukumbi wa mikutano wa...
View Article*PROFESSA MUHONGO NI MUHANGA WA PROPAGANDA YA UDINI-CCM
Kumekuwepo na habari ambazo zimeendelea kushamiri kila uchao katika mitandao ya kijamii na pia habari hizo kuripotiwa na magazeti kadhaa, ambapo kwa mara ya kwanza gazeti la mtanzania la Jumanne ya...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA JAJI MSTAAFU LEWIS MAKAME, TANGA
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Mama Mary Mbaga Makame, mjane wa Marehemu Jaji Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wilayani Muheza kwa ajili ya mazishi tarehe...
View Article*TOYOTA YAFANYA BONANZA MAALUMU LA KUWAPONGEZA WAFANYAKAZI WAKE, WANAUME...
Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi...
View Article*WABUNGE WA CCM WAUNGURUMA MTERA MKOANI DODOMA
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi katika kijiji Iringa Mvumi Jimbo la Mtera mkoani Dodoma ambapo Chama cha mapinduzi kimeendelea kuuelimisha umma juu ya masuala ya...
View Article*MAKANISA SINGIDA YAONYA MATUSI NA UBAGUZI BUNGENI
Askofu wa kanisa la Evanglist Assembels of God Tanzania (E.A.G.T) Singida mjini, John Mafwimbo akizungumza kwenye mkutano wa Injili uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Ukombozi mjini...
View Article*MAREHEMU LUCIA KIBUSI AAGWA, BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI
Watoto wa marehemu Martin na Steven Kibusi kulia wakiwa kwenye chakula cha pamoja baada ya ibada ya kumbukumbu ya kumuaga mama yao kumalizika kushoto ni marafiki wa karibu na watoto wa marehemu...
View Article*RAIS KIKWETE AWAPA ZAWADI WACHEZAJI WA MADRID, FIGO APOKEA KWA NIABA YA WENZAKE
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi ya kinyago mchezaji veterani wa timu Real Madrid Luis Figo wakati wa hafla ya chakula cha jioni aliyowaandalia wachezaji wa timu hiyo na timu ya maveterani...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE ALIPOKUTANA NA MAMA GRACA MACHEL KWENYE OFISI ZA WAMA...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Mama Graca Machel aliyemtembelea kwenye ofisi za WAMA jana. Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete...
View Article*BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUFANYA KIKAO CHAKE CHA BUNGE KARIMJEE DAR ES...
Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es...
View Article*RAIS KIKWETE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA MZUMBE, MJINI MOROGORO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya picha yake ya kuchorwa wakati alipotembelea Chuo Kikuu cha mzumbe ambapo walihutubia wanafunzi, wahadhiri na wananchi katika chuo hicho baada ya kuzindua...
View Article*OFISI YA BUNGE YATOA UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA POSHO ZA WAJUMBE BUNGE LA...
Mkurugenzi wa Habari na Itifaki, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akitoa ufafanuzi mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo...
View Article*MIFUKO YA PENSHENI YAWAPIGA MSASA WATUMISHI WAPYA WA WIZARA YA HABARI,...
Muwasilishaji Toka Mfuko wa Pensheni wa NSSF Bw. Feruzi Mtika akiongea na waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuhusu aina ya Mafao wanayotoa iwapo watajiunga na Mfuko huo,...
View Article